You must be a member of the ForChildren.com community to download resources. Click the buttons below to sign in or sign up!
| Category | Spiritual Development |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2015 |
Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yatahusisha mada kama: kuifahamu na kuijua Biblia, kufahamu na kujua masimulizi ya historia katika Biblia, kutambua kwamba Mungu alimuumba mwanadamu na vitu vyote vilivyo duniani, kujua matukio makuu katika Agano la Kale na Agano Jipya, kutambua kwamba Yesu ni mwokozi wa ulimwengu na aliwapa wanafunzi wake kazi ya kuhubiri habari njema kwa watu wote, Yesu alienda mbinguni na atarudi tena duniani. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na sita yanahusisha mpangilio wa somo (Urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufunza, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za utendaji zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.