Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • About
  • Connect
  • Learn
  • Discover

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Discover
  • Learn
  • Connect
  • About
  • Language
  • Login/Join
Spiritual Development
All▾
  • All
  • New Survival & early Childhood Curriculum.
  • Interventions
    • All
    • Health
    • Livelihoods
  • Child Protection
  • Cognitive Development
    • All
    • Science
    • Math
  • Physical Development
    • All
    • Safety
    • Health
  • Socio-Emotional Development
    • All
    • Relationships
  • Spiritual Development
    • All
    • Theology
    • Discipleship
    • Bible Stories
    • Characters of the Bible
  • Child Philosophy
  • Church Philosophy
  • Life Skills
Search
5 star average - 1 vote
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 2

2015
Preview

Preview

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Download

Login Required

You must be a member of the ForChildren.com community to download resources. Click the buttons below to sign in or sign up!

PDF • Swahili • 15.5 MB
Category Spiritual Development
Copyright Owner Compassion International

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yatahusisha mada kama: kuifahamu na kuijua Biblia, kufahamu na kujua masimulizi ya historia katika Biblia, kutambua kwamba Mungu aliumba ulimwengu na vitu vyote vilivyo ndani yake, kujua matukio makuu katika Agano la Kale na Agano Jipya, kutambua kwamba Yesu ni mwokozi wa ulimwengu na watu wote wanatakiwa kumwamini na kumkubali ili kupata uzima wa milele. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na sita yanahusisha mpangilio wa somo (Urefu,matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufunza, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za utendaji zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

WE ARE FOR CHILDREN.

ForChildren.com, presented by Compassion International, offers ideas, learning opportunities and relationships to help equip people who work with children-at-risk. We are a worldwide community of Jesus-followers who are committed to the holistic development of children. We invite you to join our collaborative community as we share with one another the ideas, experiences, methods and tools that help children thrive even in the midst of adversity.

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us​
  • Frequent Questions
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy