You must be a member of the ForChildren.com community to download resources. Click the buttons below to sign in or sign up!
| Category | Socio-Emotional Development |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2015 |
Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kijamii. Masomo yatahusisha mada kama: kujitambua, maendeleo ya jamii, utetezi, hisia za maendeleo, kukua kwa hisia, familia, mahusiano na jamii, kutambua jamii, kujiandaa kuwa kiongozi, na hadithi za Bibilia. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na sita yanahusisha mpangilio wa somo (urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufunza, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za utendaji zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.