Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | None |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje” yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa tatu kwenye toleo la Mwili Wangu ni Mwili Wangu. Wimbo huu unawaelimisha na kuwapa watoto ujuzi wa kujibu wasiowajua na kushughulikia hali zisizo salama. Mafunzo yanajumuisha mwongozo wa majadiliano ya ziada na masahuri ya usalama yanayokusudiwa kuwawezesha watoto bila kuwaogopesha. Mengine yaliyopo ni maneno ya wimbo na “Kanuni Rahisi” zinazowasaidia watoto kuwa salama ili wasiumize na wasiowajua ambao wanaweza kuwadhuru.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.