Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | None |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa nne kwenye toleo la Mwili Wangu ni Mwili Wangu. Wimbo huu unawasaidia watoto wawe na ujasiri wa kumueleza mtu mzima anayeaminika iwapo mtu anawaumiza. Mafunzo haya yanajumuisha mwongozo wa majadiliano na shughuli ya ziada ya kuwasaidia watoto wafikirie kuhusu anayeweza kuwasaidia ikiwa wana shida. Mengine yaliyopo ni maneno ya wimbo na “Kanuni Rahisi” za kuwasaidia watoto wapaze sauti ama wazungumze ikiwa wananyanyaswa.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.