Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | None |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole yanaelezea malengo ya wimbo wa mwisho kwenye toleo la video ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu, yanayowasaidia watoto kuelewa wanavyopaswa kupendwa. Mafunzo haya yana mwongozo wa majadiliano na shughuli ya ziada ya kuwasaidia watoto wafikirie mambo wanayopenda kufanya na wazazi wao. Mengine yaliyopo ni maneno ya wimbo na taarifa kuhusu kutelekezwa ama kutotunzwa, ambayo huwa ni aina ya unyanyasaji wa watoto inayojulikana zaidi.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.