Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | None |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Hati ya Ishara za Unyanyasaji wa Watoto ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu inatoa mashauri muhimu ya kumjibu mtoto anayefichua taarifa inayoonyesha kwamba ananyanyaswa. Kuna pia maelezo na ishara za kukusaidia kutambua aina tofauti za unyanyasaji, ikiwemo kutelekezwa ama kutotunzwa, unyanyasaji wa kimwili, unyanyasaji wa kingono na unyanyasaji wa kihisia. Ikiwa unashuku kwamba mtoto ananyanyaswa, ni muhimu kujibu inavyofaa na kuwasiliana na mamlaka ya kuwalinda watoto.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.