Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | None |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto wasikilize hisia zao. Watoto wanahimizwa wasifanye mambo yanayowapa wasiwasi. Kwa mashauri ya kuwasaida watoto kutambua hisia zao, kuelewa shinikizo la rika na kuhisi kwamba wanaweza kujilinda, angalia hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Wangu na Hati na video ya mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.