Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | Cognitive Development |
Copyright Owner | Compassion International |
Kitengo hiki kimetayarishiwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahusisha mada kama: kujitambua mimi ni nani, rangi na maumbo, uundaji wa vitu, kuielewa jamii yangu, chakula ninachokula hutoka wapi, ulimwengu wa kazi, naweza kusimulia hadithi, siku za mapumziko/sherehe. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na mbili yanahusisha mpangilio wa somo (urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufunza, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za utendaji zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.
ForChildren.com, presented by Compassion International, offers ideas, learning opportunities and relationships to help equip people who work with children-at-risk. We are a worldwide community of Jesus-followers who are committed to the holistic development of children. We invite you to join our collaborative community as we share with one another the ideas, experiences, methods and tools that help children thrive even in the midst of adversity.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.