You must be a member of the ForChildren.com community to download resources. Click the buttons below to sign in or sign up!
| Category | Spiritual Development > Bible Stories |
| Copyright Owner and Year | max7.org, 2023 |
Bidoe hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea kutoka kwa kundi, mchungaji anawaacha kondoo hao wengine kuenda na kumuokoa kondoo aliyepotea. Video inagusia hisia za kupoteza kitu muhimu sana na hisia nzuri ya kukipata. Umepotea au umepatikana? Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 2 na sekunde 9, na infaa kwa watu wa umri wote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.