You must be a member of the ForChildren.com community to download resources. Click the buttons below to sign in or sign up!
| Category | Physical Development |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2023 |
Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo yatahusisha mada kama: Mishipa mikubwa na midogo ya fahamu, milango mitano ya fahamu, misuli mikubwa na midogo, Mungu anataka nijitunze mwenyewe, vyakula bora, Mungu anataka kutunza mwili wangu, Mungu anataka niufahamu mwili wangu. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na nne yanahusisha, mpangilio wa somo (Urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufunza, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za utendaji zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.