You must be a member of the ForChildren.com community to download resources. Click the buttons below to sign in or sign up!
| Category | Socio-Emotional Development |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2023 |
Kitengo hiki kwa watoto kati ya miaka 3-5 inahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo yatahusisha mada kama Kujitambua ndani ya Kristo,Mimi ni nani ,Kuchambua hisia ,Ninafurahia jinsia yangu,Nina mpango salama ,nawasiliana na wengine kuhusu hisia zangu,kuwasiliana bila mgogoro,Kujenga msingi ya kujiamini na kadhalika …Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na tatu yanahusisha mpangilio wa somo(Urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia) Muda wa darasa unahusisha maelezo kwa kina jinsi ya kufunza,pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kusaidia kusoma na kuelewa pamoja na tathmini ya mwalimu.Masomo na shughuli za utendaji zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.