Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | None |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto kwamba mwili wao ni wao wenyewe na hakuna aliye na haki ya kuwaumiza au kugusa sehemu zao za siri. Kwa mashauri ya kujadili mguso unaokubaliwa na usiokubaliwa, kanuni ya “Hakuna siri”, na cha kufanya mtoto akikueleza kwamba amenyanyaswa angalia hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu na Hati na video ya mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu.
ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.