Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2021 |
Waraka huu una orodha ya dalili maarufu ambazo watu huwa nazo baada ya kiwewe. Ni muhimu kuwasaidia watu waliokuwa na kiwewe kuelewa kuwa wanachohisi (kimwili, kihisia, kiakili) kinahusiana na kile walichopitia.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.