Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2020 |
Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Mtoto zinapinga aina zote za dhuluma na unyanyasaji wa watoto. Pia zinaichochea Compassion kufanya kila iwezalo ndani ya uwezo wake kuhakikisha kuwa hakuna madhara yanayompata mtoto yeyote aliyesajiliwa katika mpango wake kutokana na ushiriki wake katika huduma ya Compassion International. Kwa jinsi hiyo, waajiriwa wa Compassion, wafanyakazi washirika wa kanisa na wanaojitolea, wafanyakazi wa Global Partner na mgeni yeyote atakayetangamana na mtoto katika mpango wa Compassion lazima atie sahihi na atii kanuni za maadili zinazobainisha tabia inayokubalika na isiyokubalika ya watu wazima kwa watoto.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.