Kabla ya kuingia na kutumia Tovuti, utahitajika kujisajili kama mtumiaji aliyeidhinishwa kwa kuwasilisha taarifa fulani kwenye Tovuti.
Unapojisajili kuwa mtumiaji aliyeidhinishwa wa Tovuti, unaonyesha na kuthibitisha kwa Compassion kwamba: (a) unatumia utambulisho wako halisi; (b) taarifa unayotoa kwa Compassion kukuhusu na kuhusu shirika lako ni ya kweli, kamili na sahihi, na ya sasa; (c) utadumisha taarifa hiyo na kuisasisha inapohitajika; (d) umefikisha umri unaofaa kisheria (katika jimbo/mkoa wako au eneo lako la makazi) na una uwezo wa kiakili kuingia katika Masharti haya ya Matumizi; (e) una mamlaka kwa niaba ya shirika lako kuingia katika Masharti haya ya Matumizi na unakubali kuyatii; (f) una mahitaji halali ya kufikia Tovuti na maudhui yake na utatumia maudhui ya Tovuti kwa madhumuni yaliyoidhinishwa peke yake; na (g) huna matakwa/umikili wa kibinafsi au umiliki katika Tovuti au maudhui yake. Zaidi ya hayo unakubali kwamba una wajibu wa kulinda na kudumisha usiri wa taarifa yako ya kuingia. Unawajibu wa shughuli inayofanyika chini ya taarifa yako ya kuingia, kama umeidhibisha shughuli hiyo au la. Unakubali kwamba hutauza, kuhamisha au kupeana ufikiaji wako wa Tovuti au taarifa yako ya kuingia kwa mtu yoyote wa tatu au vinginevyo kutoa ufikiaji kwa mtu yoyote wa tatu. Compassion inahifadhi haki ya kukuagiza kubadilisha nenosiri lako mara kwa mara.
ForChildren.com, presented by Compassion International, offers ideas, learning opportunities and relationships to help equip people who work with children-at-risk. We are a worldwide community of Jesus-followers who are committed to the holistic development of children. We invite you to join our collaborative community as we share with one another the ideas, experiences, methods and tools that help children thrive even in the midst of adversity.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.