Mtaala wa Compassion International
Mtaala Msingi wa Compassion International (Kiswahili) una mamia ya mipango ya masomo ya ukuaji wa jumla (kiroho, kiakili, kimwili, kimhemuki ya jamii) kwa watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 11. Mipango ya masomo inajumuisha malengo na viashirio, maelekezo ya mwalimu, na shughuli za kujifanyia mwenyewe za mafunzo ya kuhusisha. Bofya hapa kuona!