ForChildren.com ni tapo la wafuasi wa Yesu wenye shauku kuhusu umuhimu wa kuwalinda, kuwalea na kuwakuza watoto. Waalike marafiki wako na upate wengine wapya ili mbadilishane mawazo, mshauriane, na mtoe ujuzi wenu. Upo nyumbani.
ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.