Library

Jipatie nyenzo muhimu - kutoka kwa video za kutia motisha, mipango ya masomo na insha kuhusu teolojia. Changia rasilimali zako mwenyewe kuwasaidia watu wengine wanaoshirikiana na watoto katika muktadha wa umasikini.

Chati ya Mihemuko

Chati ya Mihemuko

Chati hii inatoa kielelezo cha picha ya hisia na mihemuko tofauti. Msaada wa kuona unaweza kuwa na manufaa kutumiwa na watu ambao wana shida ya kutaj…
Church: Msururu Wa Falsafa Ya Mahubiri Ya Compassion

Church: Msururu Wa Falsafa Ya Mahubiri Ya Compassion

Kanisa ndio tumaini kubwa kwa dunia, chombo cha Mungu cha kuendeleza ufalme wake. Compassion International ni shirika lisilo la faida linalojaribu ku…
Dalili za Kiwewe

Dalili za Kiwewe

Waraka huu una orodha ya dalili maarufu ambazo watu huwa nazo baada ya kiwewe. Ni muhimu kuwasaidia watu waliokuwa na kiwewe kuelewa kuwa wanachohisi…
Dirisha la Utangulizi wa 4/14

Dirisha la Utangulizi wa 4/14

Dirisha la 4/14 linamaanisha kundi la kidemografia kuanzia umri wa miaka minne hadi miaka kumi na minne, ambalo liko wazi na ndio hupokea mambo ya ki…
Fumbo la kondoo aliyepotea

Fumbo la kondoo aliyepotea

Bidoe hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea kutok…
Fumbo la mpandaji

Fumbo la mpandaji

Video hii hai inasimulia fumbo la Yesu la Mpandaji, kama linavyoelezwa katika Matayo 13:1-23, Marko 4:1-20 na Luka 8:1-15. Video inaonyesha dhahiri m…
Fumbo la tajiri mjinga (mtindo wa mchunga ng'ombe)

Fumbo la tajiri mjinga (mtindo wa mchunga ng'ombe)

Video hii hai inasimulia hadithi ya fumbo la tajiri mjinga, iliyo katika Luka 12. Mack, mkulima aliyegeuka na kuwa mchunga ng'ombe huko Porini Maghar…
Fumbo la talanta

Fumbo la talanta

Mwanamume anawaachua wafanyakazi mali yake. Ni jukumu lao kutumia mali yake ili wapate mazao. Wanafanya nini? Kwa sababu video haina vipengele vya lu…
Mfarisayo na mkusanya kodi

Mfarisayo na mkusanya kodi

Kulingana na Luka 18:9-14, video hii hai inasimulia fumbo la Mfarisayo na mkusanya kodi. Hadithi hii inafundisha kuhusu msimamo wa maombi yetu kwa Mu…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 1

Kitengo hiki kimetayarishiwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahus…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 2

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo yatahusis…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 1

Kitengo hiki kwa watoto kati ya miaka 3-5 inahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo yatahusisha mada kama Kujita…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 2

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kijamii. Masomo yatahusis…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 1

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo yatahusish…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 2

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo yatahusish…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 1

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yatahusish…
Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 2

Kitengo hiki kimetayarishwa watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yatahusish…
Mwana mpotevu sehemu 1

Mwana mpotevu sehemu 1

Video za Mwana Mpotevu, sehemu ya pili, mfululizo hai, inasimulia fumbo la 'Mwana Mpotevu' au (Mwana Mpotevu) kama inavyopatikana katika Luka 15:11-3…
Mwana mpotevu sehemu 2

Mwana mpotevu sehemu 2

Video za Mwana Mpotevu, sehemu ya pili, mfululizo hai, inasimulia fumbo la 'Mwana Mpotevu' au (Mwana Mpotevu) kama inavyopatikana katika Luka 15:11-3…
Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Matoto

Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Matoto

Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Mtoto zinapinga aina zote za dhuluma na unyanyasaji wa watoto. Pia zinaichochea Compassion kufanya kila iwezalo ndani ya …