Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • About
  • Connect
  • Learn
  • Discover

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Discover
  • Learn
  • Connect
  • About
  • Language
  • Login/Join

Mtaala wa watoto 3-5

Kulingana na uzoefu wa miongo mingi ya kuwakuza watoto, ForChildren.com inafurahi kutoa masomo ya Mtaala Msingi wa Compassion International kwa lugha ya Kiswahili kwa watoto wenye umri wa miaka 3-5. Watoto wanaongozwa katika ukuaji wa kiakili, mihemko ya kijamii, kimwili, na kiroho na shughuli zilizo katika muktadha wa Kiafrika. Kila somo lina malengo na viashirio wazi, maelekezo ya mwalimu, zana za makadirio, na shughuli za kujifanyia mwenyewe kwa mafunzo ya kuwahusisha. Mtaala unajumuisha masomo ya miaka miwili, yenye masomo kati ya 40-50 kwa mwaka kwa kila moja ya kategoria nne (kiakili, mhemuko wa kijamii, kimwili, na kiroho). Hivi punde, mtaala wa watoto wenye umri wa miaka 6-8, na 9-11 pia utatolewa kwenye ForChildren.com peke yake.  

Zaidi ya karne nusu iliyopita, mtaala huu umewasaidia mamilioni ya watoto kujifunza na kukua, ukiwasaidia kukabiliana na hali ngumu ili kufuata mpango ambao Mungu amewapangia. Kuna watoto katika jamii yako wanaohitaji ukuaji wa jumla?

 

Bofya hapa chini ufikie Ukuaji wa Watoto wa Jumla wa Compassion International kwa lugha ya Kiswahili na uanze kubadilisha dunia, mtoto mmoja baada ya mwingine. 

 

Mtaala Msingi wa Compassion kwa lugha ya Kiswahili kwa watoto wenye umri wa miaka 3-5

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 2

WE ARE FOR CHILDREN.

ForChildren.com, presented by Compassion International, offers ideas, learning opportunities and relationships to help equip people who work with children-at-risk. We are a worldwide community of Jesus-followers who are committed to the holistic development of children. We invite you to join our collaborative community as we share with one another the ideas, experiences, methods and tools that help children thrive even in the midst of adversity.

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us​
  • Frequent Questions
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy