Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Unganisha
  • Kujifunza
  • Gundua

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Gundua
  • Kujifunza
  • Unganisha
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge

Mtaala wa watoto 3-5

Kulingana na uzoefu wa miongo mingi ya kuwakuza watoto, ForChildren.com inafurahi kutoa masomo ya Mtaala Msingi wa Compassion International kwa lugha ya Kiswahili kwa watoto wenye umri wa miaka 3-5. Watoto wanaongozwa katika ukuaji wa kiakili, mihemko ya kijamii, kimwili, na kiroho na shughuli zilizo katika muktadha wa Kiafrika. Kila somo lina malengo na viashirio wazi, maelekezo ya mwalimu, zana za makadirio, na shughuli za kujifanyia mwenyewe kwa mafunzo ya kuwahusisha. Mtaala unajumuisha masomo ya miaka miwili, yenye masomo kati ya 40-50 kwa mwaka kwa kila moja ya kategoria nne (kiakili, mhemuko wa kijamii, kimwili, na kiroho). Hivi punde, mtaala wa watoto wenye umri wa miaka 6-8, na 9-11 pia utatolewa kwenye ForChildren.com peke yake.  

Zaidi ya karne nusu iliyopita, mtaala huu umewasaidia mamilioni ya watoto kujifunza na kukua, ukiwasaidia kukabiliana na hali ngumu ili kufuata mpango ambao Mungu amewapangia. Kuna watoto katika jamii yako wanaohitaji ukuaji wa jumla?

 

Bofya hapa chini ufikie Ukuaji wa Watoto wa Jumla wa Compassion International kwa lugha ya Kiswahili na uanze kubadilisha dunia, mtoto mmoja baada ya mwingine. 

 

Mtaala Msingi wa Compassion kwa lugha ya Kiswahili kwa watoto wenye umri wa miaka 3-5

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiakili - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kijamii - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kiroho - Mwaka 2

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 1

Miaka 3-5 Kitengo Cha Kimwili - Mwaka 2

Tuko kwa ajili ya watoto.

ForChildren.com, inayotolewa na Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya  wafuasi wa Yesu duniani kote iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakualika ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.

ForChildren.com inatolewa na Compassion International, shirika lisilo la faidia lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti
  • Faragha